Tonga
Waanzilishi wa Grid Pacific , Tania Wolfgramm na Wikuki Kingi, wanarekodi safari yao ya kuweka Tonga kwenye ramani. Ili kukuza utamaduni wa Tonga na visiwa vingine vya pasifiki, walianza mpango mkubwa wa kuweka funguvisiwa lote kwenye ramani na katika Taswira ya Mtaa. Tazama taarifa yao ya kusisimua hapa.
Watch the film
Link to Youtube Video (visible only when JS is disabled)