Jump to Content

Armenia

Sikiliza Joe Hacobian, mmoja wa waanzilishi wa shirika lisilo la faida la Armenia360. Joe alizungumza kwenye Mkutano wa Taswira ya Mtaa 2019 jijini London kuhusu safari ya timu yake ya kuweka nchi ya mababu zao kwenye ramani. Hii ni taarifa kuhusu jinsi mtu yeyote anavyoweza kuweka maeneo anayothamini kwenye ramani kwa kutumia Taswira ya Mtaa.

Taswira ya Mtaa ya Google - kupiku changamoto wakati wa kuweka Armenia kwenye ramani

Watch the film

Link to Youtube Video (visible only when JS is disabled)