Jump to Content

Zanzibar

Tazama kikundi cha wapigapicha cha World Travel in 360 wakizungumza kuhusu Project Zanzibar, mradi wao wa pamoja na serikali ya Tanzania wa kuweka Zanzibar kwenye ramani. Federico Debetto, Nickolay Omelchenko na Chris du Plessis walisafiri Tanzania ili kuandaa msingi wa kuweka funguvisiwa kwenye ramani, kuelimisha wakazi kuhusu picha za Taswira ya Mtaa na kujenga mfumo thabiti kwa jumuiya ili iendeleze mpango huu kivyake.

Taswira ya Mtaa ya Google - kuandaa msingi wa kuweka Zanzibar kwenye ramani

Watch the film

Link to Youtube Video (visible only when JS is disabled)