Jump to Content

Myanmar

Gundua Myanmar kupitia video hii inayoonyesha kazi nzuri ya mpigapicha Nyi Lynn Seck na wenzake kutoka 3XVIVR Productions. 3XVIVR walitumia muda na juhudi nyingi katika mpango wao maalum, wakilenga kuweka Myanmar mtandaoni kupitia Taswira ya Mtaa na kuhifadhi turathi za kitamaduni za nchi hiyo katika picha za digrii 360.

Taswira ya Mtaa ya Google - kuweka Myanmar mtandaoni na kuhifadhi turathi zake za kitamaduni

Watch the film

Link to Youtube Video (visible only when JS is disabled)