Jump to Content

Zimbabwe

Mtazame Tawanda Kanhema akisimulia taarifa yake kuhusu kuweka Zimbabwe kwenye ramani akitumia Taswira ya Mtaa. Tawanda alirudi katika nchi yake ya Zimbabwe akiwa na lengo la kuweka picha za Taswira ya Mtaa za mji wa Harare (mji mkuu) na Victoria Falls (kivutio maarufu kwa watalii wa kimataifa) kwenye Ramani za Google. Hivi karibuni amepanua mradi wake ili kujumuisha pia maeneo mengine makuu katika Zimbabwe.

Taswira ya Mtaa ya Google - mtaalamu wa kupiga picha anaonyesha ramani ya Zimbabwe kwa ulimwengu

Watch the film

Link to Youtube Video (visible only when JS is disabled)