Jump to Content

Kenya

Kutana na baadhi ya Wajuzi wa Mitaa na wapigapicha wanaoweka Kenya kwenye ramani. Ari yao ya kuusaidia ulimwengu ujue kuhusu urembo wa ajabu wa mazingira ya Kenya iliwapelekea wachague Taswira ya Mtaa kuwa zana bora zaidi ya kutimiza lengo hili.

Taswira ya Mtaa ya Google - wajuzi wa mitaa wanaonyesha urembo wa mazingira ya Kenya kwa ulimwengu

Watch the film

Link to Youtube Video (visible only when JS is disabled)

IMECHAPISHWA KATIKA: