Jump to Content

Bamuda

Pata maelezo kuhusu jinsi Mamlaka ya Utalii ya Bamuda (BTA), shirika linalotangaza vivutio vya maeneo mahususi, yalivyolipatia shirika la kutoa ushauri wa mauzo la Miles Partnership jukumu la kukusanya Picha za Taswira ya Mtaa. Shirika la Miles Partnership limesaidia BTA kuboresha uwepo wake mtandaoni kwenye huduma ya Ramani za Google na kuendeleza ugunduzi wa biashara za karibu, huku pia likiwawezesha watalii kugundua Bamuda mtandaoni wanapopanga (au kutamani!) kusafiri.

Taswira ya Mtaa ya Google - kuboresha utalii nchini Bamuda

Watch the film

Link to Youtube Video (visible only when JS is disabled)

IMECHAPISHWA KATIKA: