Jump to Content

Onyesha sehemu za ndani na nje za biashara yako

Picha na maonyesho ya mtandaoni huwasaidia watu waamue kutembelea biashara. Imarisha uwepo wako mtandaoni na uonyeshe biashara yako katika hali yake bora zaidi, ndani na nje. Wajulishe wateja wako mambo ya kutarajia wanapovinjari picha za Taswira ya Mtaa kabla ya kutembelea biashara.

Show_your_business_.webp
  • Zaidi ya 100

    nchi na maeneo kwenye Taswira ya Mtaa

  • Zaidi ya Bilioni 1

    idadi ya wanaotumia Ramani za Google kila mwezi

  • Zaidi ya milioni 200

    idadi ya biashara na maeneo yaliyoorodheshwa kwenye Ramani za Google

business-hero-line-image
Picha za mwonekano wa digrii 360 za Taswira ya Mtaa ya Google za sehemu ya mbele ya duka

Wajulishe watu mambo ya kutarajia kupitia picha za mwonekano wa digrii 360 za sehemu ya mbele ya duka lako

Tunga picha zako za nje za kuwaongoza wageni mahali ulipo na uwaonyeshe maelezo muhimu kama vile mahali wanapoweza kuegesha, au iwapo wanaweza kuingia kwa kutumia kiti cha magurudumu.
Onyesho la ndani la mwonekano wa digrii 360 la Wonders Boutique kwenye Taswira ya Mtaa ya Google katika Zanzibar

Fanya biashara yako itambulike kupitia onyesho la mtandaoni

Wakaribishe wateja ndani ili uwasaidie wafahamu biashara yako na huduma au bidhaa zilizomo kabla wafike. Piga picha za majengo yako, rafu za bidhaa na menyu kisha uzichapishe kwenye Taswira ya Mtaa mwenyewe, au kwa usaidizi wa mtaalamu.
Sehemu ya mbele ya biashara kwenye Taswira ya Mtaa ya Google kutoka kwenye Getty Images - Tinpixels

Wavutie wageni wako warudi kwa kuweka picha mpya

Je, umebadilisha muundo wa bidhaa au umeanza kuuza bidhaa mpya? Sasisha picha zako kwenye Taswira ya Mtaa. Dhibiti picha zako za mtandaoni, kwa kuwafahamisha wateja wako mara kwa mara kuhusu mabadiliko na ofa za kufana.
business-card-line-image

Jinsi ya kuanza

  • Tafuta kamera au umwajiri mtaalamu

  • Piga picha zako

  • Chapisha picha zako