Kwa vifaa na vitu vyako • Angalia simu, kishikwambi, vipokea sauti vya kichwani na vifuasi vyako vingine kwenye ramani–hata iwapo havipo mtandaoni. • Cheza sauti ili upate kifaa chako kilichopotea iwapo kipo karibu. • Ikiwa umepoteza kifaa, unaweza kufuta data yote iliyomo au kukilinda kutoka mbali. Unaweza pia kuweka ujumbe maalum utakaoonekana kwenye skrini iliyofungwa endapo mtu atapata kifaa chako. • Tafuta vifaa na vitu vyako kwenye Simu na vifaa vinavyotumika vyenye Wear OS. • Data yote ya mahali katika mtandao wa Kitafutaji husimbwa kwa njia fiche. Data hii ya mahali haionekani hata kwa Google.
Kuruhusu ufikiaji wa data ya mahali • Ruhusu ufikiaji wa data ya mahali ulipo katika muda halisi ili upange kukutana na rafiki au uthibitishe iwapo mwanafamilia alifika nyumbani salama.
Ilisasishwa tarehe
9 Mac 2026
Zana
Usalama wa data
arrow_forward
Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Mahali, Taarifa binafsi na nyingine5
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe
Ukaguzi huru wa usalama
Angalia maelezo
Ukadiriaji na maoni
phone_androidSimu
watchSaa
laptopChromebook
tablet_androidKompyuta kibao
4.2
Maoni 1.54M
5
4
3
2
1
Ramadhan Rajabu
Ripoti kuwa hayafai
2 Oktoba 2025
huduma nzuri
Watu 14 walinufaika kutokana na maoni haya
Chifu Emanueli Solo.
Ripoti kuwa hayafai
21 Januari 2025
Utafiti Wa hari ya juu Sana.
Watu 35 walinufaika kutokana na maoni haya
Liner
Ripoti kuwa hayafai
9 Mei 2024
Sipokei cm sipig
Watu 7 walinufaika kutokana na maoni haya
Vipengele vipya
Tumetatua tatizo ambapo kipengele cha Utafutaji Sahihi hakikuwa kikifanya kazi ipasavyo kwenye vifaa fulani vya Android.
Mbali na kupata vifaa na vitu vilivyopotea, sasa unaweza kuendelea kuwasiliana na watu unaowajali. Unaweza kuruhusu ufikiaji wa data ya mahali ulipo katika muda halisi ili upange kukutana na rafiki au uthibitishe iwapo mwanafamilia alifika nyumbani salama—yote katika programu moja.